Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

14.5.19

[Mpya] WhatsApp Dark Mode Yatangazwa Ujio Mpya katika Toleo lijalo Itazame sasa.[Picha]

WABetaInfo Imekuja na viwambo vingine  vinavyoonyesha picha ya kipengele cha Mandhari ya  Giza katika program ya Whatsapp. 

Imetoa  picha tatu za viwambo  vya Programu hio ya  Mazungumzo,Picha katika mandhari ya giza  zikionyeshwa katika CHATS,STATUS  na CALLS tabo ambazo zinaonyesha rangi mpya na kuacha rangi ya kijani kwa icons fulani, na kuwekwa  background nyeusi kutoka ile ya rangi ya kijani. Tutahitaji kuwa na uvumilivu zaidi hadi pale Whatsapp itaanza kusasisha toleo lijalo kwa watumiaji wote ili kuona jinsi inavyoonekana na inavyofanya kazi katika uhalisia.

  • Chanzo cha habari: 
  • WAbetainfo