Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

2.5.19

Jinsi ya Kubypass Tecno Spark 7 / K7 isiyo na X-ender au Palmstore.

Methods to screenshot on your tecno spark phones nigeria jpg 720x405 Tecno spark plus screen shot

Karibu smatskills ,Ebhana leo nataka kuwa onnyesheni njia rahisi ya kubypass Tcno k7 ambayo haina xender wala Palmstore .

kama mnakumbuka hapo awali tuliandaa video ikionyesha jinsi ya kubypass tecno spark7 / k7 lakini hio ilikuwa na Xender na Palmstore

Video yenyewe kama hukuwahi kuitazama itazame sasa.


Basi leo tutaangalia vifaa hivyo ambavyo havina Xender wala Palmstore.
 Tazama Video Hii Ambayo ina Maelekezo Yote ⬇⬇.