Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

10.5.19

Jinsi ya kubadilisha font kwenye simu yako bila kuroot

Hakuna habari mbaya kama unapotaka kufanya jambo fulani kwenye simu yako lakoni ukakutana na kikwazo.

Kila mmoja angependa simu yake iwe na muonekano wa kupendeza na wa kiutofauti na ilivyo kawaida.
Muonekano wa maandishi ya dusha 2018


Wengi ili kuweza kufanya yote wawezayo ilikuwa ni lazma uroot simu yako ndio uweze kufanya. Leo tunakupa njia ya kubadilisha maandishi kwenye simu yako bila kuroot. Angalia video hii na kama una swali utauliza kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii hasa telegram.
Kama umependa hizo font unaweza kupakua hapa SmatskillsDushafont

Pia kama unapenda hiyo Du records Pro yani ikiwa na brashi ya kuchorea pakua hapa Du records

Kwa maelezo zaidi subscribe chenel yetu youtube na telegram