Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

3.4.19

Sifa na uwezo wa Huawei Y5 Prime 2018

Huawei Y5 Prime 2018 imeitwa hivyo kutokana kuwepo Y5 nyingi na za miaka tofauti pia. Simu hii imetoka mwaka jana kutoka familia ya Y ndio maana ili kutofautisha ikaongezewa 2018.
Huawei Y5 Prime 2018 


Kuna mpya gani?
Hii simu inakuja na teknolojia ya face recognize ambayo unaweza kufungua (kutoa lock) kwa sura yako.

 Zifa zake hizi hapa

  • Toleo la Android 8.1 Oreo(Emui 8)
  • Ujazo wa disk 16GB
  • Ram 2GB
  • Kamera 13MP
  • Kamera ya mbele 5MP
  • Uwezo wa Betri 3020mAh
  • Sim card 2(ndogo kabisa)


Hii simu ina bei tofauti kulingana na soko TZ inacheza 350,000 na KE 300,000 kama Itahitaji mpya full box unaweza kunicheki hapa telegram TomaaMireni au karibu kwenye group letu smatskills