Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

24.4.19

Lenovo Kutoa Kompyuta mpya za michezo -Processor Intel Core i9.

                                    
Hapo Jana kulifanyika tukio nchini China ambapo kampuni ya Lenovo ilifunua Z6 Pro kifaa chake cha juu.  Kampuni pia ilitangaza mifano mitatu ya kompyuta za  michezo, Majina ya mifano hio mitatu ni Lenovo Legion Y9000K, Y7000P, na Y7000 yote hii ilitangazwa na ni lazima ieleweke kuwa mifano ya kwanza ilitolewa kwenye onyesho la CES 2019 lakini ikiwa na Core i7 SoC.
      Biashara ya Uuzaji wa PC kwa Lenovo umekuwa kipengele kinachoimarisha kwa kasi brand hiyo.

                              

Pengine kipengele cha kuvutia zaidi kwahivi karibuni ni  9-generation ya  Intel Core i9 processor . Laptops za inchi 15 pia zina vifaa vya kizazi kipya cha kadi za graphics za NVIDIA GeForce na wanunuzi wanachaguliwa kati ya RTX na GTX.
       Zhang Hua, Makamu wa Rais wa Lenovo Group na meneja mkuu wa biashara  katika Lenovo China alionyesha kuwa notebook ya Lenovo Legion ina sifa tatu za kipekee ambazo ni; Dual-Direct GFX mode-mbili kuimarishwa upande wa kuonyesha yaani (display),  TSI blade cold -mfumo wa kuweka baridi kama notebook itachemka sana.