Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

23.4.19

Jinsi ya kupakua video za instagram kutoka kwenye akaunti (Private)

smatskillstanzania@gmail.com

Karibu smatskills web ambayo inakupatia kile unachositahili popote pale ulipo , Pia Tufuatilie kwenye mitando yetu ya kijamii  kwa mengi zaidi,

  Leo tumewaandalia video itakayo kuonyesha nikwa namna gani unaweza kupakua video unayoitaka instagram  kutoka katika page au kurasa ambazo ni Binafsi (Private Account) .

    Hakuna ugumu wowote kwa triki hii niwewe tu kutizama mwanzo mpaka mwisho ili kuelewa zaidi, Wengi wanafahamu kupakua video au photos kutoka kwenye Kurasa za Umma  (public page) ila kwenye kurasa zilizo private ndo kasheshe....

   Basi tazama video Hii hapa chini ina maelekezo Yote.