Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

12.10.18

Sifa,uwezo na bei ya itel S13

Huu ni mzigo mwingine toka itel
  • Upana wa kioo : 5.5 Inchi
  • OS: Android 8.1 Oreo ikiwa  Android Go
  • Aina ya prosesa Quad-core 1.3 GHz, MediaTek MT6580 Chipset
  • RAM: 1GB
  • Ujazo wa ndani: 8GB.
  • Kamera ya nyuma: 5MP + 5MP zkizik mbili zenye LED Flash
  • Kamera ya mbele: 13MP ikiwa na LED flash
  • SIM kadi mbili (Micro)
  • Uwezo wa betri: 2,400 mAh
Ipatikana karibu maeneo yote. S13 ukiwa Kenya unaweza kupata kwa Ksh.7500 na kwa Tanzania 160,000(bei zinaweza kubadilika). Simu hii ina muonekano mzuri na uwezo pia tofauti na bei yake. Inafaa sana kama sio mtu wa kupenda makuu.