Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

4.10.18

Jinsi ya kuroot Tecno Canon CM

Muda mrefu sana sijaleta trick za kuroot simu,sasa nimerudi rasmi.

 Faida ya kuroot simu wengi wetu humu ndani tunajua hata baadhi ya njia za kufanya hivyo hasa matoleo ya android chini ya 5.1.
Lakini ugumu umekuja kwanzia 6.0 kwenda juu hapo app maarufu ya kingroot mpaka leo haijaweza kuroot mpaka sasa.

ukiroot simu yako unaweza kuichezea mpaka sehemu za siri lakini ni risk pia.

Leo tutatumia njia mpya ya Magisk Root badala ya Super SU. Hapa mimi nitatoa tools tu mana maelezo ni mengi kila mmoja anaweza kuyapitia hapa Root Tecno Canon CM
Hakikisha unapakuwa hizi Magisk Root zipiflash kwa kwa TWRP Download Hapa baada ya zoezi install apk ya Magisk Manager (haipo playstore) hapo umemaliza kazi yako.
Asanteni sana kuna swali karibuni telegram @smatskills.