Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

19.4.18

INSTALL NETFRAMEWORK 3.5 KWENYE WINDOWS 8/8.1 BILA KUPIGA WINDOW{ERRO 0X800F081F + 0X800F0922 IMESURUHISHWA }


Kumekuwa na shida sana kwa watumiaji wa windows 8/8.1 kushindwa kuwasha NETFRAMEWORK 3.5 kwasabbu ya mfumo endeshaji huuu kuwa NETFRAMEWORK 4
Netframework 3.5 husaidia sana kwa wapenz wa games kwani games nyingi za pc zinahitsji Netframework 3.5 .

πŸ‘‰πŸ½ pia sio games tu bali hata program kama cubuse 5 , spotfy cracker , Adobe zote huhitaji Netframework hii ya 3.5
BILA kupoteza mda twende tukaaanze.....

MAHITAJI
πŸ‘‰πŸ½ pc yako windows 8/8.1
πŸ‘‰ image windows 8/8.1
πŸ‘‰winnrar

Codes zilizotumika kwenye cmd ni hizi hap
cd..

1) cd..

2) cd..

3) dism /online /enable-feature /featurename:netfx3 /all /source:c:\sxs /limitaccess

Kama ukikutana na hii error code 0x800f0922

Chakufanya fungua cmd as administrator kisha weka code za mwanzo kisha maliza na hizi hapa chini


dism /online /cleanup-image /restorehealthBaada ya kusema hivo ungana nami kwenye video hiii hapa chiniii kufanikisha shughuli nzima