Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

6.4.18

IJUE KWA UNDANI SIMU YA TECNO CANON X na X PRO SIFA NA UWEZO WAKE


Muonekano wa Canon X na X PRO 

Ukizubaa umepigwa bao, huu msemo Tecno wanautumia vizuri sana,wameendelea kuachia simu katika soko la simu janja ili kuepuka kupitwa na washindani wao. Mara hii wameachia Canon X Pro,hii ni mpya na tofauti kabisa kuwahi kutokea.
 
KUNA JIPYA KATIKA CANON X PRO?
  • Toleo Android 8.1[Oreo]
  • Kamera kamera ya  X Pro ina 24MP mbele+ 16MP nyuma. 
  • Kioo chake 6-inch FHD screen na sekta inayoongoza 18: 9 full screen screen.
  • Diski uhifadhi  64GB, RAM 4GB 
  • Betri lake 3750mAh
  • Mtandao ina 4G LTE


Pia ina teknolojia ya kutambua uso wa haraka (inayoonyeshwa na kufikia FACE ID).

Soma pia: Sifa na uwezo wa Infinix Hot 3

CAMON X na CAMON X Pro huwapa teknolojia mpya ya uso, uso ambayo inaweza kutumika kufungua simu wakati wa kuangaza skrini.
Kwa kufahamu maelezo ya uso, [Face ID] ina kiwango cha 50mm kutambua na inafaa zaidi kuwa alama za vidole[finger print sensor]
kipengele cha utambulisho.

Bei yake bado haijawekwa wazi, endelea kufuatilia smatskills na tutakujulisha.