Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

4.3.18

Whatsapp Yaongeza Mda wa Kufuta Ujumbe Sasa hivi Sio Tena Dakika 7 Soma zaidi..WhatsApp kwa watumiaji wa Android Sasa Inakupa Saa moja na sekunde 16 kwa kufuta Ujumbe kwa Kila mtu .

  • Futa kwa kila mtu ilianzishwa mwezi Novemba mwaka jana
  • Hivi sasa, watumiaji wa kawaida wanauwezo wa kufuta ujumbe kwa dakika 7 tu .ili kufuta ujumbe
  • Ila Sasa, kwa wenye beta ya Android whatsapp inatoa uwezo zaidi kwa watumiaji wake kufuta ujumbe zaidi ya sekunde 4,096.
Kipengele hicho cha futa kwa kila mtu WhatsApp iliombwa kwa muda mrefu na watumiaji wake pia waliomba kiongezwe mda zaidi ikibidi hata limited itolewe ila hivi karibuni imeleta Futa kwa kila mtu kwa watumiaji wa Beta (Beta ni kipengele maalumu cha majaribio au kuangalia kinachofaa ili kupata sasisho. Beta ya hivi karibuni ya WhatsApp(v2.18.69) ya Android sasa inatoa Dakika zaidi kwa watumiaji hadi sekunde 4,096 Ambazo ni sawa na (68 dakika na sekunde 16) kufuta ujumbe kwa kila mtu kwenye mazungumzo. Kwa sasa, katika kujenga imara, watumiaji wa mtandao wa whatsapp messenger mtumiaji wao wamepewa uwezo wa kufuta ujumbe kwa kila mtu ni sekunde 420 (au dakika 7).
Hio ni kwa watumiaji wa simu zenye mfumo wa Android .
 Pia whatsapp inaripotiwa kufanya maboresho yake kwa programu ya iPhone hivi karibuni.
Soma zaidi hapa: Whatsapp Report
Smatskills ©2018.