Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

2.3.18

SOMA SIFA NA UWEZO WA SAMSUNG GRAND PRIME PRO

 Grand Prime sio familia geni kwenye simu za Samsung lakini hii imekuja na manjo njo kibao kiasi kwamba lazma ikushawishi tu kununua.

Hii simu imekuja na mambo mingi sana,wacha tuone machache.

KUPIGA PICHA, Hapa kile kipiga picha[shooter] unaweza kukitembeza hadi utakapoona kidole chako kinafika kwa urahisi. Hii ni tofauti na tulivyozoea, ukitaka kupiga selfie unaweza kuangusha simu kufuata kipigaji.

DUAL MESSENGER,

hapa unaweza kutengeneza akaunti mbili mbili kwa zile apps za kuchati kama WhatsApp, Telegram hata Messenger yenyewe, kwahiyo wenye akaunti mbili faida kwenu.

Sifa na uwezo wake muhimu
Inakuja na toleo la Andoid 7.0[Nougat]

Uhifadhi
Disk mchomekomicroSD, up to 256 GB (dedicated slot)
Hifadhi ya ndani 16 GB, 1.5 GB RAM
Kamera
Upande ws nyuma 8 MP, f/2.2, autofocus, LED flash
Uwezo mwengine Geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama
Video1080p@30fps
Kamera ya mbele5 MP, f/2.2, LED flash
Sauti
MilioVibration; MP3, WAV ringtones
LoudspeakerYes
3.5mm jackYes
Mawasiliano
WLANWi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspot
Bluetooth4.2, A2DP
GPSYes, with A-GPS, GLONASS, BDS
RadioFM radio
USBmicroUSB 2.0, USB On-The-Go