Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

7.3.18

SAMSUNG GALAXY S9/S9 PLUS

Samsung Galaxy S9/S9+

Kama kawaida kubwa la maadui, Samsung wanazidi kulete simu kali kila kukicha,mara hii ni zamu ya Galaxy S9 na S9 plus.

NI NINI KIPYA?

Tofauti ya hizi simu ni chache sana.

Ukubwa wa Galaxy S9
Ukubwa wa Galaxy S9+

  • Uhifadhi, zote zinakuja na  Ujazo wa uhifadhi 64GB lakini ram tofauti S9 ram ni 4GB na S9+ ram ni 6GB
  • Kamera,S9 ina MP12 wakati S9+ ina kamera 2 zote ni MP12.
  • Toleo la Android  zote zinakuja na 8.0 Oreo
  • Betri, upande wa betri ziko tofauti  S9 inakuja na 3000mAh na S9+ 3500mAh. Na pia inauwezo wa kuchajiwa kwa chaja zisizo na waya(Wireless Charging) Hii ni nzuri sababu kupunguza ukosefu wa USB ambazo sio imara.


Mpaka ifike hapa Tanzania itauzwa shilingi 2,400,000 huenda bei ikabadilika kulingana viwango vya dolla. 

Asante kwa usomaji wako unaweza kutoa maoni yako chini kama hii simu unaionaje.