Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

12.3.18

JINSI YA KUONGEZA UKUBWA WA MEMORY CARD & USB FLASH YAKO KUTOKA 2GB HADI 4GB, 4GB HADI.. Soma zaidi

 Sd data Tools ni chombo cha kumsaidia mtumiaji kupanua nafasi ya Drive yake na kuimarisha Memory card . Je, unasumbuliwa kwa kubakiwa nafasi ndogo tutu kwenye Hard drive , USB, au SD CARD ?  Fahamu kuwa unaweza kutatua tatizo kwa njia moja tu.

SD DATA TOOLS Ni programu ambayo inaruhusu watumiaji kuongeza uwezo wa kuhifadhi vitu hadi mara mbili. Ni chombo bora ambacho kimekuwa katika soko kwa miaka mingi. Sd data tool download bure kwa pc inatumia interface rahisi ambayo ni rahisi kuelewa ,Na utaweza Kupanua nafasi ya Drive ambayo haikuwa rahisi kama ilivyo sasa.

ZINGATIA :
Mtumiaji anaweza kubadilisha USB FLASH AU SD CARD YAKE UKUBWA KAMA IFUATAVYO.
 
USB FLASH/MEMORY CARD 2GB
       →ITAONGEZWA UKUBWA MWISHO 4GB USIZIDI HAPO.

USB FLASH /MEMORY CARD 4GB
        →ITAONGEZWA UKUBWA MWISHO 8GB USIZIDI HAPO.
USB FLASH/MEMORY CARD 8GB 
         →ITAONGEZWA UKUBWA MWISHO 16GB USIZIDI HAPO. 

  MAHITAJI:
KOMPYUTA : OS YOYOTE ILE. 
 PROGRAMU HUSIKA SD DATA TOOLS 
    →ITAONGEZWA UKUBWA MWISHO . 


Mchakato wa kutumia SD data ni rahisi Sana na pia rahisi kufuata, mtumiaji anahitajika bonyeza tu amri; ambayo inaonyesha kwamba mpango huo unasisitiza na kuboresha kumbukumbu sahihi na kuhifadhi kwa kifaa hifadhi.
Tafadhari angalia video hii hapa chini uelewe ni jisni gani ya kufanya ili kuongeza ukubwa wa sd card au USB FLASH  kwa umakini zaid,