Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

6.3.18

JINSI YA KUONDOA ACTIVATION LOCK KWENYE SIMU ZA IPHONE

HAbari washikaji na ndugu jamaaaa,marafiki na wafataliaji wa smatskills .
Leo tumekuletea somo tamu sana hii ni baada ya kuona watu wengi wanaangaika sana hasa wale wenzetu wanaotumia iphone pale tu ukisahau passcodes zako.

Sasa leo smatskills tumekuletea njia nyepesi ya kutoa activation lock kwenye simu yako ya mkononi(iphone only)


NOTE
1. Hatufundishi ujamabazi kwenye somo hili
2. fanya hii njia ila ukikumbwa na mkasa wowote sisi hatuuusiki 

Tunatoa elimu hiii kwa lengo la kujifunza ila sio kuchochea wizi


Baada ya kusema hivo njia hii husupport  kwenye iphone zenye mfumo endeshaji ufuatao

IOS 10.3
IOS 10.2.1
IOS 10.2
IOS 10.1.1
IOS 10.1
IOS 10.x.x
IOS 9.x.x

Pia hufanya kazi kwenye iphones zifuatazo

iphone 7 plus
iphone 7
iphone 6s plus
iphone 6s
iphone se
iphone 6 plus
iphone 6
iphone 5s
iphone 5c
iphone 5
iphone 4
ipads zoteeeeeee
ipod zoteeeeeeee

TWENDEEEEEE TUKAAANZEEEEEE ................loading 45%
HATUA ZA KUFUATA MUHIMU
Cha kwanza hakikisha kwenye simu yako kuna line yoyte , Njia hii haifanyi kazi kama simu ikiwa haina line kwa iyo hakikisha kwenye simu kuna line.

HATUA YA 1
Washa simu yako kisha kama kawaida chagua lugha na nchi yakoHATUA YA 2

Baada ya hapo nenda kwenye WIFI SETTINGS kisha nenda sehemu penye kilalama cha "i" na hapa mara nyingi simu zenye updates hazioneshe kile kialama cha "i" kama ukioni bonyeza Home Botton kisha select more wifi settingsHATUA YA 3

hakikisha simu yako haipo connected kwenye network na kama ipo connected kwenye network bonyeza kialama cha "i" kisha bonyeza forget this Network


HATUA YA 4

Bonyeza "i" kisha weka custom DNS chagua IP yoyote kati ya hizi hapa chini
          
                              USA/NORTH AMERICA  104.154.51.7

                              EUROPE  104.155.28.90

                              ASIA        104.155.220.58

                             SMATSKILLS IP  78.100.17.60


HATUA YA 5

Baada ya kufanya hivo rudi Back kisha washa hotspot kwa kutuumia simu ingine kisha connect na iphone yako na hapo simu yako itajifungua page ingine ikifanya hivo bonyeza back mpka itulie kwenye page ya kuweka wifi passoword kisha utajoin baada ya sekunde icloud  screen itatokea na wewe cha kufanya ni kutoa account ya mtu mwingine na kuweka yako na password kisha utakuwa umemaliza kama inavyoonekana hapo chini.


mpaka hapo utakuwa umemamiliza mchezo .ukikumbwa na chochote tujuze hapo chini kupitia online chat na comments.

@SMATSKILLS 2018 ALL RIGHTS RESERVED