Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

1.3.18

HABARI NJEMA KWA WANAOMILIKI YOUTUBE CHANNELS

Natumaini mzma wa afya ndugu mfatiliaji wetu wa smatskills .
Leo nimewaletea habari njema kwa watu wenye youtube channels . ni kwamba mtandao maarufu unaojulikana kama tube buddy wameachia app yao ya kwanza hapo jana.


App hii ni nzuri nna itakuwezesha wewe mwenye youtube channel kukuza acc yako .

Kwasasa mpka hapo jana tube buddy wameanza na app yao kwa upande wa ios yani IPHONE . Ila kulingana na maelezo yao app hii itakuwa upande wa ios na Androids pamoja kwasasa taratibu za uotaji wa upande wa androids znaendelea.

Na kwenye upande wa upatikanaji unaweza pakua app hii kwenye istore ya simu yako .

Enjoy

@smatskills 2018 hatupitwi na jambo tuko unique & free as molecules

NICE DAY