Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

13.3.18

[Google Translate]Tafsiri ya Google yaboreshwa Kiswahili chapata pendeleo

App tumizi ya Google Tafsiri  au kwa lugha ya kitaalam inajulikana kama Google Translate imejizolea umaarufu kutokana na mchango wake katika kutafsiri lugha .

 Hii ni app inayotoa msaada wa kutafsiri lugha zaid ya 100,ukiwa na hii hata uende nchi gani sasa unaweza kupata muongozo kutoka kwa app hiyo bila kuwa na mkalimani.

          NI NINI KIPYA?

  •   KISWAHILI CHAPENDELEWA:>Kwa sasa lugha ya  Kiswahili imepata pendeleo la kutafsiriwa bila hata kuwa na muunganisho  wa data,hii ni fursa nzuri hasa pale utakapokuwa huna kifurushi.
  •    MAZUNGUMZO [CHATS]-> hapa unaweza kuzungumza kwa kiswahili na app itaweza kutafsiri kwa lugha utakayo kama Kingereza. Hii ni nzuri sana kwa sababu kuna watu wengine kuandika pia ni shida kwake, sasa kupitia maboresho haya hautalazimika kuandika tu bali hata kuongea. 
Unaweza kuipakua hapa toka Duka la Google Play Google Tafsiri