Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

7.3.18

Download Update mpya ya lucky patcher

 Soma Hii kwa uangalifu Kabla ya kupakua update hio mpya.

Lucky Patcher sio Malware, Virusi au programu ya hatari lakini Google inaweza kukuonyesha onyo. ukiona google inakupa onyo basi "funga au zima Play Protect " kwenye Duka la Google Play ili utoe onyo hilo.
       
→Bei: Bure
→Ukubwa: 7.46 MB

→inaingia kwenye  android kuanzia version
Android 2.3+
 →Official Website www.luckypatchers.com
 → sasisho  limetoka 5/3/2018
    
programu hii ipo katika mfumo wa zip kabla huja install hakikisha kwanza una..  
→ Unzip faili baada ya kupakuliwa.imewekwa kwenye  ZIP file ili kuepuka maonyo ya taarifa zisizo. Unaweza Unzip faili kwa kutumia  "X-plore" au "ES File Explorer" au programu yoyote yenye uwezo wa kutoa zip , ambazo zinapatikana kwenye Duka la Google Play.