Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

23.3.18

Download Lucky patcher v 7.1.7 Toleo jipya hapa.

 lucky patcher watoa toleo jipya tena hapo jana ambayo kwa sasa ni version 7.1.7 achana na ile ya mwanzo ambayo ni version 7.1.2pakua update hio mpya kutoka smatskills.

Lucky Patcher sio Malware, Virusi au programu ya hatari lakini Google inaweza kukuonyesha onyo. ukiona google inakupa onyo basi "funga au zima Play Protect " kwenye Duka la Google Play ili utoe onyo hilo.
       
→Bei: Bure
→Ukubwa: 5.46 MB

→inaingia kwenye  android kuanzia version
Android 2.3+
 →Official Website www.luckypatchers.com
 → sasisho  limetoka 22/3/2018
    
programu hii ipo katika mfumo wa zip kabla huja install hakikisha kwanza una..  
→ Unzip faili baada ya kupakuliwa.imewekwa kwenye  ZIP file ili kuepuka maonyo ya taarifa zisizo. Unaweza Unzip faili kwa kutumia  "X-plore" au "ES File Explorer" au programu yoyote yenye uwezo wa kutoa zip , ambazo zinapatikana kwenye Duka la Google Play.