Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

8.2.18

TUMIA USB KUPATA INTANETI KWENYE KOMPYUTA YAKO KUTOKA KWENYE SMARTPHONE YOYOTE.
Je? komputa yako haina wi-fi au modem ? na unahitaji  kutumia intaneti lakini unashindwa kutumia kwakua huna vitu hivyo.
  Toa shaka smatskills tunakupa njia ya ziada ambayo itakusaidia kutumia intaneti kwenye komputa yako bila kuwa Na Wifi au Modem ila utatumia USB tu!!!!.

 HATUA ZA KUFUATA :
→  Chukua USB yako chomeka kwenye komputa yako na simu yako
Baada ya kuunganisha USB yako kwenye komputa na simu yako usibonyeze chochote kwenye simu yako endapo itatokea screen yenye maelezo hayo yanayoonekana kwenye picha.
Hapo utabonyeza Cancel kisha Ingia Settings > tafta palipo andikwa>More > kisha angalia Palipoandikwa Tethering & portable hotspot >kisha bonyeza hapo na uweke ON sehemu iliyoandikwa >USB TETHERING (ipo mwanzoni kabisa) 
Hakikisha unafanya hivo ikiwa umechomeka USB kwenye kompyuta na Simu yako. 
Ikiwa hujachomeka hio sehemu ya USB TETHERING hutoiona. 

Baada ya kuweka ON sehemu hio ya USB Tethering kama picha zinavyoonyesha basi hatua ya Mwisho ni wewe kuwasha data katika simu yako. 

FUNGUA KOMPYUTA YAKO NA TUMIA INTANETI BILA SHIDA.