Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

23.2.18

TELEGRAM YAONGOZA KWA KUWA NA KOPI NYINGI KWENYE HIFADHI YA GOOGLE PLAY.

 Program ya telegram yaongoza kwa kuwa ina kopi nyingi playstore lakini Original program hio kutoka kwa developer wake Zipo mbili kwa sasa TELEGRAM X na TELEGRAM.

Lakini developer wengine wameichukua na kuanza kuisambaza kwa majina mbali mbali huko playstore.

SOMA PIA:HII NDIZO SIRI MBILI USIZOZIFAHAMU KUHUSU TELEGRAM.

Kwanini Google play hawaja ziondoa hizo kopi za telegram kama zilivyo kopi za programu zingine??

 →  Hazijaondolewa kwa sababu hazijabadilishwa kitu ndani yake japo ni kopi lakini inaongozwa na developer mkuu wa Telegram.  Pia Database zote ni za developer mkuu wa Programu hio.

Hii ndio listi ya baadhi ya Kopi za Telegram kutoka kwa developer tofauti tofauti.
     Kumbuka: TELEGRAM X na TELEGRAM sio kopi bali ni Programu halali za developer wa telegram.

Telegram pro
Telegram multigram
Telegram Blackgram
Telegram persian plus
Telegraphy chat
Telegram unofficial Russian 
Mobgram Telegram. 
Turbogram 

Hizo ni baadhi tu ila zipo zaidi ya hizo kwenye listi hio.
Pia baadhi ya Kopi hizo ziliondolewa kutokana na kuwekewa matangazo yasiyofaa.
Kama huna telegram unaweza kupakua hapa Telegram messenger 👈
Telegram X 👈

Karibu kwenye channel yetu telegram 👉 Smatskillstz