Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

24.2.18

TAFUTA SIMU ILIYOIBIWA NA TERMUX LINUX (hacking environment vol.6)

Ni siku ingine tenaaa karibu ndugu mfuatiliaji wetu wa smatskills .
Leo tutaenda kuangalia uwezekano wa kutafuta simu iliyoibiwa katika mazingira mawili.
1. Ikiwa bado mwizi anaendelea kuitumia
2. Akiwa ameiflash na kufuta details zako


Loading.......................78%


Katika hali ya kawaida hakuna kitu ambacho kinaumiza kama unanunua simu alafu mtu anakuja kuiba tu sasa hii ndo njia uya kumkamata mtu au mwizi wa simu yako cha msingi fuata maelekezo bila kukosea

Baaada ya kusema hivo twende moja kwa moja kwenye point ya msingi

MAHITAJI MUHIMU
1. Simu yako
2. Termux (linux code app)DOWNLOAD HAPA
3. Aircrack-ng
4. Github termux location tool
5. IMEI no.

Baada ya kusema ivo ili twende sawa naomba fuatana na sisi hatua moja moja kwa kutumia iyo video hapo chini ili uweze fanikiwa kufanya hivo.

Ukikwama njooo kwenye comments au kama ni issue kubwa chat nasi hapo chini
@smatskills 2018