Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

1.2.18

TAARIFA : TELEGRAM YATOA APP MPYA TELEGRAM X .


Habari gani wapenzi na wafuatiliaji wa smatskills
    Tunapenda kukufahamisha kuwa Telegram Yaja na App Mpya ya Android inayoitwa Telegram X

Kampuni ya telegram kupitia tovuti yake wiki kadhaa hapo nyuma  ilitoa Taarifa kwamba wanakuja na App mpya Basi Hapo jana kampuni hio imetangaza ujio wa App yake mpya ya Telegram X kwaajili ya watumiaji wa Android.
   Pia wamesema App hiyo mpya  ni sehemu ya majaribio na tayari kwa sasa iko Play Store na unaweza kuipakua sasa.

                →DOWNLOAD TELEGRAM X HAPA. 

SIFA ZA TELEGRAM X. 
→Ni App moja nyepesi sana kuitumia iko vizuri. 
   Ujio huu wa toleo hili jipya haina maana kwamba utafta Telegram uliyonayo hapana Unauwezo wa kutumia zote mbili kwa wakati mmoja. 

→Pia Unaweza Kuhamishia akaunti yako kwenye TELEGRAM X kutoka Telegram ya Kawaida bila Kupoteza Data zako. 

>Tumia TELEGRAM X na TELEGRAM Ya Kawaida kwa namba moja bila tatizo. 

  Bonyeza Link hapo juu kwenda kuipakua na kuona izuri wake.