Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

1.2.18

ORODHA YA MATOLEO YA ANDROID TOKA ILIPOANZISHWA

     Android imeanzishwa rasmi 2008 na kampuni ya Google, ikiwa nyuma ya Iphone iliyoanzishwa 2006, soko la app tumizi kwa wakati huo lilifahamika kama Android Market.
     Wakati huo hukulazimika kuwa na akaunti ya gmail ili uweze kupakua app,bali ni wewe na kifaa chako tu,kwa miaka kimekuwa likiboreshwa na kubadilika majina na kuwa Google Play na hadi sasa linajukikana kama Play Store.


IFAHAMU PROGRAMU ENDESHI YA ANDROID


 Google imekuwa ikitoa majima ya peremende kwa matoleo haya,  ili kuleta mvuto kwa watumiaji waje.


  ORODHA YA MATOLEO YA ANDROID

Jina                              toleo 
1.Cupcake                    1.0 
2.Donut                        1.6    
3.Eclair                         2.0
4.Froyo                         2.2
5.Gingerbread               2.3
6.Honeycomb                3.0
7.Ice Cream Sandwich  4.0
8.Jelly Bean                  4.1
9.Kitkat                         4.4
10.Lollipop                   5.0
11.Marshmarlow           6.0
12.Nougat                     7.0
13.Oreo                         8.0 
Oreo ndio toleo la kisasa kwa sasa,katika mtiririko huo toleo la Honeycomb 3.0 ndilo lilifanya vibaya sokoni ukilinganisha na mengine.
   Kuna mabadiliko mengi tu yaliofanywa na Google kulingana na kila toleo.kwanzia Lollipop kwenda juu haya yamekua yakifahamika kwa namba zaidi kulilo ilivyokua huko nyuma mfano Android 5 au 7 n.k.
   Google wanapotambulisha toleo jipya kuna vifaa vinakuwa vya kwanza kupata maboresho  haya zikiwemo simu za zilizojulikana hapo awali kama Nexus kwa sasa ni Google Pixel. Asante kwa usomaji wako na karibu kutoa maoni