Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

23.2.18

JINSI YA KUONDOA/KUBYPASS GOOGLE ACCOUNT VERIFICATION KATIKA SIMU ZA ANDROID (TECNO W3)

Karibu tena smatskills leo nitakuletea tutorial jinsi ya kuremove/kubypass google email verification katika simu za android na leo nitakuonyesha kwa kutumia simu ya tecno w3 LTEkama utapata tatizo lolote niachie maoni yako hapo chini