Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

16.2.18

JINSI YA KUJIKINGA DHIDI YA WADUKUZI (HACKERS)

Habari za saizi wapenzi na wafuatiliaji wetu .. Karibu tena katika ulimwengo wetu wa tecknlogia na leo nitawapa somo fupi sana halina maelezo ila utaaangalia vielelezo (video) ili uweze kujikwamua katika mikono ya hackers ( wadukuzi)


Leo nitaongelea ni jinsi gani wewe mpenzi mfuatiliaji wa smatskills unaweza kujikinga dhidi ya hackers.

Kila mtu anajua maana ya udukuzi!!
Udukuzi (hacker) ni kitendo cha kumwingilia mtu katika mifumo yake bila ridhaaa yake . hivo leo nitakuonesha jinsi ya kujikinga dhidi ya wadukuzi.

MAHITAJI 
1. Simu yako
2. Utulivu wako na umakini

Baada ya kusema hivo unaweza angalia vidwo hiii ili uweze fuatana nasi kwenye kufanikisha kujikwamua mikononi mwa hackers .