Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

3.2.18

INFINIX NOTE 4 MBIONI KUPATA ANDROID 8 [OREO]

   Ukizungumzia ushindani wa kutengeneza simu janja hasa zinazokimbiza sana soko la Afrika  basi lazma utaje Infinix,ni kampuni inayotishia soko la  simu zingine hasa kasi yake ya kufyatua simu bomba na imara.
Infinix NOTE 4


  Kwa watumiaji wa Infinix Note 4 habari njema kwenu,mwanzoni wa mwezi Machi familia hii ya note 4 inatarajiwa kupata toleo jipya la Android 8 yaani Oreo, kupitia forum yao wamesema wapo mbioni na hivi karibuni watafanyia majaribio.

  Sifa za note 4
Ukubwa wa kiooInchi 5.70
Upana 1080x1920 pixels
Hifadhi 32GB
Prosesa1.3GHz quad-core
RAM3GB
Kamera ya nyuma Megapicel 13
Kamera ya mbele megapixel 8
OSAndroid 7.0
Uwezo wa Betri4300mAh
Simu hiyo imetoka mwezi wa 8 2017
Kwa sifa hizo zinatosha kabisa kupata toleo jipya la Android 8.

Sifa na uwezo wa Infinix Hot 5 X559c

Wewe unatumia simu gani?, unahitaji toleo jipya?  Niandikie chini hapo?