Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

23.2.18

DOWNLOAD FIFA 2018 HAPA (Smatskills android GaMeRS)

Oyooooo habari za saizi smatskills android gamers .....leo Tumekuletea kitu kizuri sana ni FIFA 2018 android game lenye challanges za kutosha.

Sasa hatuongei sanaaaaaaaa twende tukaaangalia sifa kwa ufupi.

SIFA ZA FIFA 2018
1. husopport zaidi ya simu milion 20 za makampuni tofauti
2. Challange za kutosha halina utofauti sana na pes 2018  ambalo unaweza lidownload pia DOWNLOAD HAPA PES 2018

3. Pia linamuonekana mzuri
4. N.k

Kwa wale wababe ambao wameonea sana pes 2018 jaribu hili nalo uone moto wakeeeeeeeee

JINSI YA KULIPAKUA
smatskills tunakurahishia maisha download hapa chini
https://www.mediafire.com/download/my0s6k6u4165c1a


Baaada ya hapo ili kuinstall hilo game kwa njia rahisi angalia procedures tulizozitoa kwenye hio post link ya PES 2018 hapo juu kisha fanya njia hiyo hiyo ili uweze cheza FIFA 2018 leo