Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

8.1.18

[UPDATE] PAKUA TOLEO JIPYA LA SMATSKILLS APP Kama ni mpenzi wa teknolojia huwezi kukosa hii, ni toleo liliboreshwa na la kisasa zaidi.

     >>Tambua kiwango cha data unachotumia

  NINI KIPYA:? 
Hii ni tofauti na ile ya mwanzo, kikubwa ni kwamba ukiwa na app hii utapata taarifa (notifications) kila habari mpya itakapowekwa.
 Pia ina mpangilio mzuri kwenye menu yake, ikiwa imerahisishwa kwa upande wa kushiriki(share)  habari  kwenye mitandao ya kijamii.


   VITU VIPYA
  1. Menu nzuri
  2. Shared Button
  3. Link za za mitandao yote 
  4. Category zote
  5. Na mengine mengi


Pakua hapa kwa kuionea zaidi👉 Smatskills App

     >>Nchi inayoongoza kwa kutumia WhatsApp

Kuwa karibu na smatskills upate ujuzi zaidi wa kiteknolojia katika simu yako.