Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

13.1.18

JINSI YA UNLOCK BOOTLOADER NA KUROOT HUAWEI NA HONOR KWA KUTUMIA HUAWEI MULTI TOOL V8

 Katika simu ngumu kucheza nazo ni hizi zenye Emui OS,yaani Huawei na Honor. lakini kwa sasa tumerahishiwa kupitia Huawei Multi Tool.
 Huu ni msaada mkubwa sana toka Team MT developers, nasema msaada kwa sababu programu hii inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja tena bila kuwa ujuzi wowote wa lugha ya kompyuta [code] .

Soma pia: Kivinjari cha Chrome kuwa internet, explore kwa kompyuta

  KAZI YA HUAWEI MULTI TOOL KWA EMUI OS
Inaweza kuwa na kazi nyingi lakini hizi ndizo kuu na muhimu sana.

  1. Kufungua (unlock) bootloader
  2. Kuroot simu yako
  3. Kuweka recovery.

Huawei multi tool kwa Windows Download

           KWANINI NI MUHIMU?
Kumbuka huwezi kuroot simu za huawei na honor bila kufungua bootloader, na hizo shughuli zote zinahitaji ujuzi wa hali ya juu sana wa code, lakini kupitia hiyo programu unahitaji kuwa na kompyuta tu.

     MAHITAJI MUHIMU KWA KAZI HIYO
  • Kompyuta
  • Simu husika
  • Unlock code(nambari za kufungulia)
  • Recovery img
  • Super SU.zip(kwa ajili ya kuroot)

[Kumbuka kupakua kila kitu kulingana na model ya simu yako] 


Kama ushatimizia mahitaji hayo yote unaweza kutazama video hii ili kuona jinsi inavyofanya kazi.

Angalia video fupi jinsi inavyotumika


Kuwa karibu na smatskills,wakati mwengine tutafundisha jinsi ya kutumia moja kwa moja.