Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

20.1.18

Tecno waja na mzigo mpya Canon CM

  Tetesi zilizo mitaani na mitandaoni ni ujio wa simu mpya ya Tecno Canon CM, japo simu haijazinduliwa rasmi lakini kwa upande wa kurasa za kampuni ya Tecno wameanza kuonesha hii simu.
Smatskills tumekuandalia uchambuzi wake hapa

  Huu ni mwendelezo wa familia ya C[CANON] kutoka tecno, familia inasifika sana kwa upande wa kamera, hii itakuwa kali kuliko Canon CX? wacha tuone sifa za mzigo huu.

SOMA PIA: Simu yako inaisha chaji haraka hata kama hutumii? 

muonekano wa simu ya Tecno Canon CM

  SIFA NA UWEZO WA TECNO CANON CM

ModelCamon CM
Jumba lakeChuma
Mfumo endeshi Android 7.0 Nougat ikiwa na HiOS 2.0
Prosesa Mediatek MT6737  Quad-core 1.25 GHz
Mtandao2G/3G/4G
Kamera ya mbele13 MP, ina LED flash
Kamera ya nyuma13MP ikiwa na Flash
Diski uhifadhi 16GB unawaza kuchomeka hadi 128GB
RAM2GB
MiunganishoGPS, WiFi, Bluetooth, USB 2.0
Uwezo wa betriuwezo wa betri 3000 mAh 9V/2A hujichaji haraka pia 
Kioo2.5D aina ya kioo  Gorilla Glass
GPUMali 860 GPU
Ukubwa wa Screen 5.7 inchi FHD IPS Touchscreen
Upana 720×1220 pixels
SensaAccelerometer, Proximity, and Compass Sensor, Temperature sensor
Alama ya kidoleIpo kwa nyuma 
SIM kadiDual Micro SIM


SOMA PIA: Sifa na uwezo wa Infinix Hot 5 X559c

Simu bado bei yake haijajukikanabkwa sasa lakini endelea kuwa nasi. 
KUMBUKA KUWA UNAWEZA KUANDIKA MAONI YAKO KWA KUKIINGIA KWA FACEBOOK

Usisahau kushare na marafiki uchambuzi huu,kama unatumia telegram unaweza kujizogeza karibu na channel yetu👉 smatskillstz 👈