Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

25.1.18

TAARIFA MUHIMU: Facebook na Instagram Yapata tatizo leo hii kwa watumiaji wengi

Tuko hapa kukuambia siyo wewe tu uliyepatwa na tatizo : watumiaji wengi wa Facebook na Instagram wamepata matatizo ya mitandao hii leo. Ingawa tatizo halionekana kuathiri kila mtu, wanachama kadhaa wa timu ya TNW hawawezi kufikia huduma au wana shida kupakia feeds yao.

Kama kawaida hutokea wakati mitandao mingine ya kijamii iko chini, kutokana na tatizo hili mtandao wa Twitter leo umejaa watu wanajaribu kujua nini kinachoendelea facebook na instagram.

Wakati huo huo, Down Detector inaripoti Facebook ilianza kuwa na matatizo karibu 1:16 EST.
Mpaka sasa facebook bado hawajaidhinisha tatizo limesababishwa na nini na wala hawaja toa taarifa juu ya maboresho yao isipokuwa wamesema wanachunguza tatizo.

Hivyo basi kuanzia sasa ukiona umepata tatizo hilo basi taarifa unayo.
 Kwa waliopata tatizo hilo wanafahamu.

 Baadhi ya Watumiaji wameshindwa ku log in kwenye akaunti zao na kushindwa kufanya mabadiliko ya aina yoyote pamoja na mtandao kuwa chini.