Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

7.1.18

NILE X SIMU JANJA YA KWANZA KUTENGENEZWA AFRIKA

 Habari njema kwa bara la Afrika, tunasubiri kwa hamu sana ujio wa Nile X simu kutoka hapa nyumbani, simu hii inatengezwa na kampuni ya Silicom industry CO,watengenezaji ni Wachina lakini Kiwanda kipo nchini Misri.

 ITAWEZA KUSHINDANA NA SIMU ZILIZO SOKONI?
hilo swali litajibiwa kutokana na sifa,bei na uwezo wa hii simu pamoja na kujitangaza kwake
MUONEKANO WA NILE X                 SIFA ZAKE HIZI

  • Mtandao 4G
  • Ujazo wa diski 64GB
  • Ram 4GB
  • Kamera 13MP(mbili) 
  • OS Android 7 Nougat
  • CPU Octa core
  • Fingerprint Sensor
  • Kioo chake 5.7 HD


Hizo ni baadhi ya sifa za simu hiyo, huku bei yake ikikadiriwa kuwa ni $112 sawa na Tsh 250,000.
Unaweza kuona video fupi ya Nile X 


 Kwa sifa hizo na bei hiyo simu hiyo ikifika Tanzania uko tayari kununua? Unaweza kuniandikia chini hapo. Usisahau kushiriki na ndugu na marafiki nao waweze kupata habari na uchambuzi kama huu.