Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

21.1.18

MUHIMU: WEKEA SIMU YAKO ULINZI KABLA HAYAJAKUTOKEA HAYA!!

Habari Mpendwa??
  Karibu smatskills Ujifunze Mambo Mbali mbali Yanayohusu teknolojia Ya sasa.

Leo Kuna jambo muhimu ambalo Tungependa Tukutaarifu ili liwe Msaada kwako hapo Baadae!!
  Kama Kichwa cha Habari kinavyojieleza Basi Ndio jambo ambalo Tungependa kukujuza.


MUHIMU KWAKO WEWE MPENDWA KABLA HUJAPATWA NA HILI.
 •Kupoteza Simu /Kuibiwa

Leo Smatskills Tuna Bonge la Program tunataka Tushare na wewe program  hii Itakusaidia Sana endapo Utapatwa na Tatizo Tajwa hapo juu.

KABLA HUJAPOTEZA AU KUIBIWA SIMU:
  Ni vizuri Program Hii ikawekwa Ndani ya simu Mapema Maana Hujui siku wala Saa Ni lini Simu au kifaa chako kitakutoka.

Program hii Inaitwa AVG SECURITY.
    kuhusu AVG SECURITY.
Imekuwa ni App Namba moja kwa kuaminika sana kwa watumiaji wengi na Ni Program bora Kwa matumizi ya Kiusalama ya Kifaa chako.

     FAIDA ZA KUTUMIA AVG SECURITY.
✔ Inakuepusha Kupata Maambukizi ya Virus Katika Kifaa chako.

✔Inakuepusha na Maudhui Mabaya ambayo ni hatarishi kwenye kifaa chako.

✔Ni Rahisi kutumia Pia Inaeleweka Vizuri .

LENGO LETU KUKULETEA PROGRAM HII NI HILI HAPA:
   Program  hii inauwezo mkubwa sana Kitu ambacho watu wengi hawakifahamu kabisa ,Hivo ndo maana smatskills tumeona tukufahimishe.
       Kazi ya Program Hii Nikuhakikisha Inakupa Ulinzi thabiti kwenye kifaa chako.


TUMIA PROGRAM HII KUFUNGIA/KUTAFTA SIMU ULIYOPOTEZA:

  hili ndo jambo kuu la Makala hii 
Program ya AVG Security Inauwezo wa kufungia Au kutafta Simu iliyopotea Endapo tu Program hii ikiwa ndani Ya simu husika Na ndio maana Tukakueleza Kuwa Ni muhimu uiwekee ulinzi Simu yako Mapema kabla ya tatizo.
                Unaweza kuipakua hapa.                     JINSI YA KUIWEKA .
  >Download Program hio kisha Kabla ya kuinstall fata hatua hizi.
  >Ingia Settings>>Security>>Unkown sources
      weka  On kisha Rudi Ulipo Download Hio Program ibonyeze Kisha Install.

Baada Ya kuifungua Itaomba Ruksa ambapo utaikubalia Ruksa Zote.

      MATUMIZI YAKE SASA ILI KUFUNGIA AU KUTAFTA SIMU ULIYOIBIWA AU KUPOTEZA.

 Kumbuka Ni muhimu Mipangilio Ifuatayo iwe imewekwa Ndani Ya  Program  hio.
       TAZAMA VIDEO HIO FUPI INA  MAELEKEZO YOTE.