Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

21.1.18

LEO KATIKA HISTORIA JE WAJUA???

Karibu smatskills Mpendwa lengo letu nikukuweka karibu na Ulimwengu wa teknolojia zaidi.
   Leo tumeona Tupitie baadhi ya kumbukumbu katika historia ya teknolojia kwa kukujuza Mambo ambayo ulikuwa Huyafahamu hapo Awali au Unayafahamu lakini hukuyajua kwa Undani zaidi.

Leo Tumekuandalia Mambo 8 ambayo kimsingi tumeona tukujuze kwa Ufupi tu.1: Je Unafahamu kuwa Kutokana na Kutengenezwa kwakwe Mwaka 2003 Mpaka Kufikia 2014 NOKIA 1100 imeuzwa Zaidi ya  250 millioni Duniani kote na Kuwa ndio Kifaa pekee cha kieletroniki kilicho uzika zaidi katika historia.???
   
2:Je unafahamu katika mwaka 1999 Ambako hotmail ilitawala watumiaji wengi wa akaunti hio wakati huo walikuwa wanatumia password "Eh"    Kama Ndio nywila ya kiulinzi .???

                 

3:Je unafahamu kuwa kompyuta Built ya kwanza kutoka kwa Steve jobs Na steve wozniak ili Kamilika ikiwa  sehemu za Spea zake Zote walipewa Bure na wafanyakazi wao ???

   

4:Je unafahamu mgunduzi wa ethernet ROBERT METACALFE Alisema Intanenti itakosa nguvu na kupotea kabisa mwaka 1996 ,Na kuahidi kutafuna Maneno yake aliyoyaandika kama ikiwa sio. Mnamo mwaka 1997 Aliloweka kopi yake hio ya maandishi hayo kwenye maziwa na kuyanywa ????
                               

5:Je unafahamu kuwa katika facebook mtu pekee ambaye huwezi kumblock ni MARK ZURCKERBERG Licha ya kuwa anatumia akaunti ya kawaida kama wewe unavotumia hapo .???
                  

6:Je wajua Mnamo Agust 2,1922 Katika mwisho wa mazishi ya Alexander Graham Bell's ,Mifumo ya simu Nchini US ilizimwa Kwa Dakika moja ili kulipia kodi ugunduzi wake huo wa simu.
                  

7:Je wajua kwa kuandika "About: Robots" kwenye Program ya Mozilla Firefox url bar  ,itafunguka na kukuonyesha ujumbe Wa Matarajio ya Robots hapo mbeleni???
                              


                      
8:kutokana na Apple,je wajua kila kitu mtu anachokifanya Au kukiongea kwa siri kupitia mic kinaenda Moja kwa moja hadi Apple na kinatunzwa kwa mda wa zaidi ya miaka miwili???.
     
Basi hayo ndo tuliyokuandalia kwa leo Mpenzi wetu wa smatskills.
        Maoni, Msaada na  ushauri tuandikie Kupitia Email yetu au sehemu ya kuandikia maoni.