Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

3.1.18

KATISHA UJUMBE ULIOTUMA KIMAKOSA ILI UFANYE MAREKEBISHO

 Ukiwa smatskills hakika hutapitwa na ujuzi,habari na uchambuzi wowote kwenye simu na kompyuta yako. Leo tutafundisha jinsi ya kukatisha ujumbe uliotuma kimakosa.

 Hapa ni tutatumia app ya kila siku ya👉 truecaller kutusaidia kufanya kazi yetu kwa urahisi, hii app ina text app, dial pad na blocker..
Nisikuchoshe sana jionee mwenyewe kupitia video hii jinsi inavyofanya kazi.


Shiriki na ndugu na jamaa zako wapate kujua mengi kupitia blog hii.