Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

28.1.18

JINSI YA KU ROOT TECNO SPARK K7

 Tecno ni maarufu sana barani Afrika na Asia,hii ina maanisha kwamba zina watumiaji wengi kuliko seemu zingine,bila kupoteza muda wacha tuone jinsi ya kuroot toleo la kisasa la Tecno Spark K7.


Kama ni mgeni wa kuroot soma hizi kwanza

 Jinisi ya ku unlock bootloader kwenye Tecno

 Jinsi ya kuroot Tecno J5 kwa recovery

       MAHITAJI
  • Kompyuta
  • Recovery
  • Super SU
  • Vcom drivers
  • SP flash tool
Baadhi ya mahitaji yapo kwenye makala za nyuma,kwahiyo hapa tutakupa Recovery na Super SU tu. Pakua­čĹë TWRP ya K7 na Super SU,ipo mfumo wa rar,ndani ya hiyo rar kuna faili 2 ndani,SuperSU-v2.82.zip na TWRP.rar.

 Hapo chukua SuperSU hamishia kwenye hifadhi zako iwe ya ndani au hifadhi ya kumbukumbu[memory card] kisha  utafungua faili la TWRP ili kupata ile scatter file,ukishafungua zima simu yako na kisha chukua kompyuta yako nenda kwenye flash tool tafuta ile scatter file ielekeze kwenye Download

Ikishakaa bofya Download na Recovery itakua imekaa sehem yake,hakikisha imeloada na kufika 100% na  utaona tik kubwa  hapo chomoa simu yako washia kwenye recovery mode kisha nenda kasakinishe[install]ile Super Su baada ya hapo anzisha[reboot]simu yako na unakuwa umemaliza kazi.

usiwe mchoyo shiriki na marafiki zako ujuzi kama huu,kama kuna swali uliza kwenye maoni chini hapo, pia wasiliana nasi kwa barua pepe au mitandao ya kijamii.