Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

20.1.18

JIFUNZE KUHACK WIFI NETWORK KWA HATUA MBILI TU KWENYE PC YAKO (hacking vol.3)

Watu wengi husumbuka na kujaribu njia mbalimbali za kudukua wifi network bila idhini au ruhusa ya mtu mwenye hati miliki.


Kumekuwa na njiaaa nyingi sana katika kufanikisha zoezi hili la udukuzi wa networks ila leo smatskills tutakupa zile njia zenye uhakika wa kufanikiwa kudukua password za mtu yyte aliyekaribu nawe.

👉🏽 Angalizo tutorial hii ni kwa ajili ya kujifunza kielimu kwaiyo hatutohusika na kesi yoyote. 

Tuanze..... Kabla ya yote hebu tuangalie maana ya hivi vitu kwanza ambavyo ndivyo vinahusika kwenye ulinzi wa wifiii networks.

 WEP ( wired equivalent privacy)
Hiii ni moja ya security kubwa duniani ambazo hutumika kulinda kifaa kinachotumia wifi.
👉🏽 hivo basi kifaa hiki ni cha zamani sana na kimejinyakulia umaarufu toka mwaka 1999 kwa ufanyaji wa kazi mzuri.
👉🏽 kifaa hiki hutumia 128bit na 256bit encryption (yani encryption mfano WPA & WAP2)

Hivo basi kwa kupitia tutorial au somo hili tutaaangalia uwezokano wa kuingia kwenye hizo system za 128bit encryption na kufanikiwa kuhack WIFI.

MAHITAJI
Windows CMD 

HATUA ZA KUFUATA
Kwanza kabisa ningependa kuweka sawa jambo moja kwamba endapo ukikosea sehemu yoyte computer yako itakuwa kwenye hatari.

Tuendeleeee na hatua........ 👇

Fungua WINDOWS CMD yako ya pc bonyeza windows + r kisha run as administrator

PIA JIFUNZE KUHACK WIFI PASSWORD KWA KUTUMIA LINUX HAPA

1.Baada ya kufungua weka hizi command
     netsh wlan show network mode=bssid

  piga ENTER hapo pc itakuonesha wifi networks zote zilikuzunguka hapo ulipo.

2. Hatua ya mwisho hapo hapo andika hizi command code.
            netsh wlan connect name=(weka jina la wifi)

Mfano.
👉🏽 netsh wlan connect name=kipusa wapili

Bonyeza enter hapo pc itaconnect kwenye wifi tajwa hapo juu.

Kudisconnect weka hii code command

                 netsh wlan disconnect 
kisha bonyeza ENTER

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuhack wifi network sasa endapo ikikataa kwenye pc yako subiria vol 3b.

Ahsante