Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

21.1.18

GOOGLE CHROME, CHROME BETA ,CHROME DEV NA CHROME CANARY ZINAUTOFAUTI??Hivi Unafahamu kuwa kuna Chrome browser App zaidi ya moja ?? Nakama Unafahamu Je Unajua Zinatofauti gani??? Na zote zipo Playstore Hebu zifahamu zaidi Na Utofauti wake.

CHROME BROWSER APP ZIPO AINA NNE KUNA:>
     1: GOOGLE CHROME
     2: CHROME BETA
     3: CHROME CANARY
     4: CHROME DEV

 Tuangalie Moja Baada ya Nyingine.
  >>GOO GLE CHROME.
Hii ndio Version ambayo kila Mmoja kwenye kifaa chake Anayo na Hii ndio Browser kuu inayoaminiwa Na Ulimwengu.

 Google Chrome Ni Program Bora kabisa Japo Kuna program  zingine Ambazo zinaizidi kasi katika Utendaji lakini hii ndio inayoaminiwa na watu wengi kwanza Ipo secured kiulinzi zaidi haitoi wala Kusambaza Taarifa za Mtumiaji wake
  kama zilivyo program za Browser zingine kama UC BROWSER  ,OPERA MIN n.k
  Hii ndio Program mama.

TOFAUTI YA GOOGLE CHROME  INAPOANZA NA CHROME PROGRAM ZINGINE :


>>GOO GLE  CHROME BETA.

      Google Chrome Beta Hii ni Program kutoka Google ambayo nayo ni chrome tu haina utofauti Sana Japo yenyewe Hii Imetofautishwa jina Pamoja Na Aina ya Flags Bar kwenye Chrome home.
                                Hii ni Google chrome .

                         


        Pia Hii Beta Imewekwa Maalamu kwa watu wale ambao Watapenda kupata Matoleo au Updates Mpya Ambazo zitaangaziwa kuwekwa Ndani ya Browser App ya Google chrome ile ya mwanzo kabla Hazijawekwa Basi wanaotumia Chrome Beta wataona Vipengelee hivyo na Kuvitolea Maoni ili kusaidia Wasanidi wa Google chrome kuchagua Umhimu wa kuweka au Laah.
       Pia Hii imetofautiana Na Google chrome Kwenye Flag Bar Itazame Hapa pichani.
             kwa kifupi  tunaweza kusema program hii ni kwaajili ya Majaribio tu.
                   

  >> GOO GLE CHROME CANARY.

Program hii bado ipo matengenezoni japo ipo katika soko.

Chrome Canary  kwa Android kwa sasa ni katika toleo la 56 na tofauti pekee inayojulikana ni icon ya njano ya Chrome. Vinginevyo, UI na vipengele vinafanana na matoleo ya sasa. Ingawa inaweza kujumuisha vitu vipya, nyongeza, na marekebisho ya bugs katika siku zijazo, kuna uwezekano mkubwa kwamba programu itakuwa imara.

 Chrome  cabary imeundwa  moja kwa moja kutoka kwenye msimbo wa hivi karibuni unaopatikana bila kupima mwongozo. Kwa kutumia  inaweza kuwa imara na " pia inaweza hata kuacha kufanya kazi kwa siku zijazo wakati wowote." Kwa hiyo, inashauriwa tu kwa watumiaji wa Chrome canary kulijua hilo.

Maboresho mapya yatapanda kila siku ya wiki na kwa hiyo hutumia uboreshaji wa data nyingi. Katika siku zijazo, . Google inachunguza kwamba vifaa vinavyowekwa ili kurekebisha programu juu ya data za mkononi vinaweza kutumia takriban 100MB kwa wiki.

Wale wanaomaliza kutumia toleo hili wanapendekezwa kutoa maoni mapema kutoka kwa 'Msaada & Maoni' kwenye orodha ya kuongezeka.
Chrome canary  inaweza kupakuliwa kwenye toleo la hivi karibuni la Android kupitia Hifadhi ya Google Play.
                                  
 
>>GOO GLE CHROME DEV

hrome ya hivi karibuni ya Chrome ya Android (v.64.0.3322.0) imeondoa fursa ya kuunganisha tabo na programu za task nyingi.

Chrome canary hii ni  kwa ajili ya Android  ina uwezekano wa kuunganisha tab wazi na programu, ambazo zilifanyika katika Matoleo yaliyopita.
Kwa kweli, ilikuwa moja ya kipengele cha chini kilichotumiwa na kilichofanya kikundi kutoka kwenye orodha ya multitasking ikawa vigumu kupata nini unayotaka.
Pia kiukweli hii haina Utofauti wowote wa kimuonekano na Google chrome Au chrome Canary. CHROME DEV na CHROME CANARY haya ni matoleo ya hivi karibuni ambayo kiukweli hayana utofauti kabisa .

Maoni yako ni mhimu Msomaji wetu tuandikie sasa nasi hatuta choka kukujibu.

PIA SOMA HABARI MBALIMBALI.