Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

10.1.18

Download Yowhatsapp v7.20

Baada ya kuifahamu kwa undani GBwhatsapp leo natambulisha kwenu app  ya YOwhatsapp, hii ni MOD nyingine ya  official whatsapp, App hii imefanyiwa maboresho  na kuwekwa manjonjo  zaidi na pia unaweza kuitumia pamoja na app nyingine za whatsapp bila kupata tatizo lolote.
Baadhi ya maujanja unayoweza kufanya ukiwa na YOWhatsapp
 -kuweka theme(mionekano) mbalimbali
-Kuweka password na  fingerprint kwa simu zinazosupport mfumo huo
          
-Kuweza kutuma mafile ya aina mbalimbali kwa urahisi zaidi,kuhide last seen kudownload status kuchange emoji n.k

Haya ni machache kati ya mengi yaliyopo kwenye app hii unaweza kuipakua hapo chini


Pia kuna toleo lingine lisilo na emoji linalosupport Baadhi ya simu zilizofungiwa huduma ya Whatsapp kama blackberry 10 nokia symbian na android zenye version ya 2.3. unaweza kuidownload hapo chini