Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

9.1.18

Download GBInstagram V1.30

 Kama kawaida huu ni maendeleo wa maboresho ya GBinsta, toleo hili la 1.30 lina mambo mengi sana tena mapya na ya utofauti kabisa, hebu ngoja tuone.

    >>SOMA PIA: CHAJI IPHONE X KWA HARAKA ZAIDI


            NINI KIPYA :
Mandhari (theme) kwenye app: 
          >>hapa unaweza kubadilisha themes mbali                    mbali ndani ya app
Profile theme: 
          >>unaweza kubadili mwonekano wa profile                  yako na kuwa na mvuto zaidi. 
Kuna mambo mengi pakua hapa ujionee mwenyewe👉 GBInstagram v1.30
                     👉 GBInstagramPlus+ v1.30
Usisahau kushiriki na ndugu na jamaa kama kawaida ili wafaidi mambo mazuri kupitia smatskills.

    >>SOMA PIA: RUDISHA AKAUNTI YAKO YA FB ILIYODUKULIWA