Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

29.12.17

WhatsApp Waja na hii …… Nini hicho soma zaidi..Teknolojia inazidi kukua hasa katika nchi za wenzetu wamezidi kuboresha huduma zao kila siku kunapo kucha.
Huku sie wa afrika tukiendelea na Ujinga unaoandama viongozi wengi kung'ang'ania madaraka na Tawala za Kibavu huku wenzetu wakizidi kupiga hatua.

Basi leo tutazame hili jipya katika habari za Teknolojia.

Whatsapp waja na Huduma ya ujumbe itakayoruhusu madaktari kubadilishana habari za mgonjwa kutumia smartphones zao.


Medixnote kwa kusaidiana na kampuni la whatsapp wazindua huduma ya ujumbe wa kwa madaktari iitwayo 'WhatsApp Doc' ili kuwawezesha madaktari wa hospitali kuwasiliana salama na wenzao na maswali kuhusu huduma ya wagonjwa.


Na Huduma hii itaanza na nchi za ulaya Na hapo baadae ndipo itaenea dunia Nzima...

Sasa Madaktari watatumia simu zao hizo hizo Kuwasiliana na Madaktari wenzao kwa Njia hio Ya ujumbe iitwayo [Whatsap Doc] kitu ambacho hapo awali hakikuwepo .

Na juumbe hizo kinacholengwa ni kwamba Daktari Atawasiliana na Daktari Mwenzie kuhusu hali ya Mgonjwa na nini cha kufanya.


Hospitali ya St George katika kusini-magharibi mwa London inasema kuwa imekuwa hospitali ya kwanza nchini Uingereza kuzindua programu ya ujumbe wa salama Medxnote kwa wafanyakazi wa kubadilishana habari za siri za wagonjwa pamoja na picha.

Mamia ya wafanyakazi sasa wanatumia programu hiyo, hospitali hiyo imesema.

Msemaji huyo aliongeza kuwa programu inaweza kutumika kwenye simu za mkononi za iOS au Android.
TAZAMA JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO INSTAGRAM