Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

26.12.17

WhatsApp December 31 2017 Kuzuia Huduma Katika Baadhi ya simu Janja soma zaidi!!


WHATSAPP Yatoa Tamko kufungia Baadhi ya Simu janja zisitumie mtandao huo ifikapo Dec 31 mwaka huu (2017).

 Simu janja hizo ni kama vile 'BLACKBERRY OS', 'BLACKBERRY 10' & WINDOW 8.0 Na simu zingine Aina hizo zote za Matoleo ya Nyuma zinazotumia mfumo wa OS !!

     Whatsap imesema Watumiaji wa simu zote za aina hio pamoja na walio na matoleo ya simu janja za hapo Awali hataweza tena kutengeneza Account za Whatsap Au kurejesha akaunti zao hizo pale tu kampuni litakapo fungia huduma hio.


Ikumbukwe hapo Awali whatsap ilitoa tamko kuwa itafungia vifaa hivyo vilivyo Nyuma na mda /matoleo ya zamani. Kufungiwa kwa Simu janja zote za toleo la nyuma Hai maanishi kuwa Wenye simu hizo watashindwa kutumia whatsapp Hapana Watatumia App ya Whatsapp iliyondani katika simu zao ila Watakosa huduma hizi.

        1:Hawatopata Updates
        2:Account zao hazitokuwa na ulinzi tena (Chat na Taarifa ya mtumiaji zitakuwa nje nje )
        3:Features mpya N.k
kitu ambacho sio kizuri kabisa.
                 


Lakini kwakua Windows 8.0 hapo mwakani wanatarajia kutoa version Mpya ya 8.1 whatsap wamesema watarudisha huduma katika simu janja hizo. ukiachilia mbali Kampuni la Microsoft kukiri kuwa Simu za window hazitokuwa tena katika soko.

Kwa upande wa kampuni la Blackberry wao wamesema hawafikilii tena kutengeneza simu janja Mpya kwani Blackberry OS na Blackberry 10 ndizo simu za mwisho kwao.
    Ila kwa sasa kampuni hilo linasimamiwa na CHINA-BASED TLC Powered by OS.
Hivo Jambo la whatsap kuzuia Huduma yao Sio jambo la kuwashangaza Wao.

ila hii itawaathiri watumiaji wa simu hizo.
 ili kuendelea kuwa na Mtandao wa whatsap utakiwa uwe na toleo jipya kabisa La simu janja katika mfumo huo wa OS.
   

"Tutazuia huduma katika Simu zote zenye matoleo ya kizamani ,Na baadhi function zitaacha kufanya kazi mda wowote ule.,
  Tunawaomba Watumiaji wa simu hizi ku upgrade simu zao au Watafte simu mpya zinazo support mfumo wa OS kuanzia version 4.0+ nakuendelea" Whatsapp Walisema'.

Vile vile Kwa watumiaji wa ANDROID Whatsap imetoa tamko kuwa itasimamisha huduma yake kwa simu ambazo zina version ya 2.3.7 Kushuka chini, window phone 7,IPHONE iSO 6 ' Ifikapo FEB 1,2020.

Pia Itasimamisha huduma katika simu Za 'NOKIA SYMBIAN S60' ifikapo December mwaka 2018.

Muhimu: ZIFAHAMU APPS 6 BORA KWA MWAKA 2017.

TAZAMA JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO INSTAGRAM