Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

1.12.17

PAKUA HAPA 3D SNIPER ILIYO JAZWA COIN HUKU UKIWA NA UWEZO WA KUICHEZA OFFLINE!!

Habari Gani mpendwa??
Kwa wapenzi wa Games za Actions nafikili game hii ni maarufu na mnaifahamu sana Ni nzuri nayakuvutia ila sasa Inakosa soko kwa sababu ili uendelee kupata uhondo Na challenge nzuri katika game hilo inabidi ulipie ndipo uendelee mbele. 

JE WAJUA UNAWEZA CHEZA DRAFT GAME KUPITIA SIMU YAKO SOMA HAPA>> CHEZA DRAFT GAME KATIKA SIMU YAKO

Basi leo snatskills imwkuletea game hilo ikiwa imekurahisishia ewe mpenzi wa game hilo Mambo mengi kabisa sasa hakuna tena Malipo ndani ya game hilo. 

Sasa unaweza jipatia game la 3D snipers ambalo limejazwa Uwezo zaidi kama vile:
>Coin
>Silaha
>Cheza offline
>Hakuna malipisho ndani ya game

Download link >>3D SNIPERS GAME

smatskills©2017