Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

23.12.17

ONDOA VIRUS KWENYE COMPYUTER YAKO BILA ANTIVIRUS YOYOTE

Ni siku nyingine tena inatupasa kumshukuru mungu pia USISAHAU KUTUKARIBISHA CLUE YA SMATSKILLS KUJA KULA PILAU tarehe 25.

Baada ya kusema ivo leo tumekuletea kitu kizuri na muhimu kukujua hasa kwa wale ambao hawapendi kutumia antivirus kwasabbu mbalimbali.

👉 tutaenda ongelea uwezekano wa kutoa virus BILA ya kutumia antivirus.

MAHITAJI MUHIMU
1. compyuter yako
2 uelewa wak0

HATUA ZA KUFUATA (muhimu)

1.fungua windows CMD yako ... nenda START kisha search CMD


2. baada ya hapo CMD kufunguka .. unachotakiwa kufanya hapo ni kuchagua disk yenye virus ambayo unataka kuitoa .
MFANO disk yangu labda ni E

sasa kwenye windows CMD type hii code  attrib -s -h /s /d *.*  

Kisha PIGA ENTER


3. baaada ya hapo type hii code ili uweze kuona data zote zilizopo kwenye disk ambayo unataka kutoa virus.
hapohapo kwenye CMD type dir  kisha piga ENTER Itakuja hivi

4. ukishaweza fanya hivo hatua inayofuata ni kutazama file lolote la ajabu ambalo mara nyingi huanza na name kisha .exe

na kama pia ukakuta autorun.inf liandike kwa mfumo huuu
                   (rename filename.extension newfilename)
mfano unaweza rename kama hivi rename autorun.inf  aaa


5. mpaka hapo utakuwa unauwezo wa kuingia katika drive bila kudhuru kitu chochote 
cha kufanya nenda my compyuta ingia kwenye drive ambayo umeifanyia hii kitu kafute files zote ambazo utaziona za ajabu AU KAMA UNAONA NI KAZI WINDOWS CMD INAWEZA KUKUSAIDIA KUSAFISHA WEKA HII CODE
    
                                                          del filename    kisha press ENTERAU 

kaama hutaki fanya manual baada ya STEP 4 nenda my compyuta kwenye disk uliofanyia hii process kisha kafute file uliloliandika kwenye STEP 4 ( tuliliandika aa) utalidelete hilo file na pc yako itakuwa salama .
ahsanteniiiiiiii