Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

29.12.17

KAMPUNI YA APPLE YAOMBA MSAMAHA KWA WATEJA WAKE!!

Kampuni ya Apple imewaomba msamaha wateja wake kwa kile ambacho wamekifanya Hapo nyuma.

   Apple hapo nyuma walitangaza Kupunguza uwezo wa Simu za Matoleo ya Nyuma Na zoezi hilo lilianza Mara moja.

   Huku sababu ikiwa ni kwamba Wanafanya hivo ilikusaidia Simu hizo kudumu zaidi katika Betri.SOMA ZAIDI HAPA

Basi  Kampuni hio Imewaomba Msamaha kwa Hicho walichokifanya Na kutangaza Kupunguza Gharama ya Vifaa vyao Ikiwemo Betri za Simu N.k

Waliochokiongelea leo Katika punguzo La Bidhaa zao Ni betri za Simu zao ambapo watapunguza Bei kwa Discount 50%.

Apple wanasema katika Maelezo yao kwamba betri ni "vipengele vinavyoangaziwa kuongezewa Feauters zaidi katika simu zao.,"

Na wamesema kuwa watatoa punguzo la Betri kwa mtu yeyote mwenye iPhone 6 au Toleo la Nyuma kidogo.

Hivo Wataanza kutoa punguzo hilo ifikapo January 2018 Hadi December Kutoka Bei yao ya Betri ya Awali ambayo betri ilikuwa $29. kwa Tanzania ni Tsh 58000/=.
discount ya dola 50 kutoka gharama ya bei yao ya kawaida.

Apple pia anaahidi kuongeza vipengele kwa IOS ambacho kazi yake ni kutoa habari zaidi juu ya afya ya betri Kipengelee hicho kitatoka mapema mwaka 2018.Baadhi ya watu wamesema kuwa Apple wanapunguza kasi za simu za zamani ili kuendesha mauzo mapya.


Kwa upande wao, Apple inaendelea kusisitiza kuwa haijawahi kupunguza uwezo kwa simu za chini hapo awali- Hii imekuja eti kwamba ni kudhibiti ufanisi wa utendaji wa simu ili kuongeza maisha ya betri za iPhone.

 Apple wanaendelea kusema "daima tulitaka wateja wetu waweze kutumia iPhones zao kwa muda mrefu iwezekanavyo." Ikiwa Apple ni mbaya juu ya hilo, na ni sawa sana kuhusu betri inayoweza kutumiwa, hatua hizi mbili za kwanza ni tu mwanzo wa upyaji mkubwa kwa njia tunayofikiria juu ya kudumisha vifaa muhimu zaidi katika maisha yetu.

Kwa tukio hili, Apple ina kazi kubwa sana ya kujenga upya uaminifu wao na wateja wake.