Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

2.12.17

Jinsi ya kupunguza na kuongeza ukubwa wa vitu kwenye simu yako

Kwanini ni muhimu kuwa na muonekano wa wastani kama apps, font status bar n.k.
Hii itafanya simu yako kuwa na mvuto kama simu nyingine janja na kufanya kioo chako kubeba vitu vingi na vya kupendeza.

 MUHIMU:
Simu uliyoroot
ES file explorer

HATUA YA KWANZA:
Pakua ES faili kisha super su itakaooomba access grant/ruhusu kama kawa, fanya hivi

HATUA YA PILI:
Fungua ES nenda juu kabisa kuna storege tofauti tofauti>SD card
            >internal
            >System 
Sasa ww chagua System na utaona faili kama hivi

Build prop kwenye mzungusho mwekundu

*TAMBUA KIWANGO CHA DATA UNACHOTUMIA KILA SIKU

*JINSI YA KUITAMBUA SAMSUNG GALAXY FAKE!! SOMA HAPATumia ES file,fungua ES file kisha nenda mpaka build prop fuata maneno haya ro.sf.lfc_density=320 

Kama unataka kupunguza unaweza kutoa 320 na kufanya 290.
Vivyo hivyo kama unataka vikubwa unaweza kuongeza na kuwa 490 uchaguzi ni wako.

HATUA YA MWISHO:
Ukimaliza hatua hiyo rudi nyuma na utasave
Angalia picha

Unaweza kushiki na ndugu na marafiki zako ili uwape nafasi ya kujifunza mengi zaidi katila blog yetu.
Tupo kwenye mitandao yote ya kijamii ukiangalia juu utaona na unaweza kutufuatilia huko.
Pia unaweza kujiunga na kundi letu Telegram SmatSkills na tuendelee kuwa karibu