Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

6.12.17

Jinsi ya kupakua apps za Sony kwenye Play Store

Kampuni ya simu janja za Sony ni moja ya makampuni nguli sana kwenye teknolojia,hii inapelekea baadhi ya apps zao nyingi kupendwa sana kwenye soko la app playstore, baadhi ya izo apps ni hizi.
  • Music
  • Album
  • Xperia Keyboard
  • Xperia Home
  • Sketch, n.k

Binafsi kama mhariri wa smatskills napenda sana Album,inaonesha picha zote kwenye gallery pia inaweza kuonesha kwa muda hata kwa folda.
Swali linakuja mbona playstore siwezi kupakua??
Kupitia blog yetu leo utapakua bila shida.
             VIGEZO MUHIMU

Root simu yako
Recovery [TWRP/CWM]

  Kama simu yako ina hivyo vitu pakua hiki kifile hapa  Sony Apps Enabler_3.0.1  (ni zip)
Zima simu yako au unaweza kuwashia kwenye recovery mode kisha flash ilo faili. Baada ya kuflash reboot simu yako nenda Settings/apps/google playstore na playstore services futa data.
 Nenda playstore tafuta app uipendayo ya sony na hapo unaweza kupakua sasa.

Usisahau kushiriki  na kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii  pia juu kuna icon. Shiriki na ndugu na marafiki zako nao wapate ujuzi sahihi kupitia blog hii. Angalia chini kuna icon za mitandao mbalimbali na unaweza kushare. kama una telegram karibu SmatSkills tujumuike pamoja