Pata ujuzi, uchambuzi, habari za kiteknolojia na apps za kijanja ukiwa na smatskills, kuwa karibu ili ujifaidi mwenyewe

Breaking

20.12.17

Jinsi ya kuona sms,call, chat mbalimbali kwenye simu ya mpenzi wako

Kama ni mfuatiliaji mzuri wa blog yetu utakua ushajifunza mengi sana,
Leo tutajifunza jinsi ya kunasa simu, sms, chat mbalimbali za mitandao ya kijamii.
  Somo na app tunayotumia leo ishafumdishwa katika habari nyingine,kuwa makini twende sawa.
 Tutatumia app ya Mobile Tracker Free au kwa kifupi MTF, hii ni app makini sana na hatari sana kama utawekewa kwenye simu yako,ukiwekewa hii app ni kama upo uchi bila kujitambua kwani ina uwezo wa kufanya vitu vingi kwenye simu yako.

Vifuatavyo ni uwezo wa app hiyo kufanya kwenye simu

  • Kurekodi sauti zote za simu
  • Kusoma jumbe zote za simu/whatsapp/fb n.k
  • Kujua sehemu ulipo
  • Maeneo uliyotembelea.
  • Kukuonesha mubashara ulipo[live viewing]
  • Kufunga apps/majina [lock/block]
Na bado kuna sifa kibao tu za hiyo app. Video hapa chini itakuthibitishia jinsi ya kuipakua hii app na kusakinisha kwenye simu ya muhusikaPakua app hiyo hapa Mobile Tracker Free

Kumbuka kwamba ukishaweka kwenye simu kwa kufuata vigezo vyote itakuwa haionekani kwenye mpangilio wa apps zako,na ili uione utapiga *1234*
Lakini hakuna uzito wa kuiona tena kwa sababu ukitaka kuangalia mitego yako utakua unaingia kwenye kivinjari na sio app tena, hata muhusika asafiri kwenda mbali wewe ukishaweka basi.